Eyoo .wacha nichange up vitu kidogo you know tuongee kidogo kama we unajua we ni mkenya hebu angia wakenya wenzao kuhusu hii mbinu kuu ya kuunda pesa iitwayo steemit.the more we invest and make it ya home kama safaricom .hatutawai hitaji kufanya kazi tena
Tutaishi maisha ya starehe na isiyo thuru mazingira kwa njia yeyote .kwa sababu kutumia hii njia ya kutoa kwa dunia badala ya kuongeza kwa dunia huthuru maisha yetu hufanya chuki iwe kila mahali kwa sababu tu ya karatasi .hii kitu imefanya watu wauane kwani tutashikwa kwa huu mtego hadi lini binadamu .inabidj tujiamshe na tuwe concious